- tuhumiwa
- ------------------------------------------------------------[Swahili Word] -tuhumiwa[English Word] be suspected[Part of Speech] verb[Class] passive[Derived Language] Swahili[Derived Word] -tuhumu[Swahili Example] Hamza, kijana mwandishi wa habari, anakamatwa kwa kutuhumiwa kuwa haini, hasa kutokana na uhusiano wake wa karibu na Hamduni, ambaye amempiga risasi na kumwua Kigogo, kiongozi wa nchi [Shafi Adam Shafi, riwaya Haini, 2003, nyuma][English Example] Hamza, a young journalist, is arrested because he is suspected of being a traitor, especially on account of his close connection to Hamduni, who shot and killed Kigogo, the leader of the country [Shafi Adam Shafi, the novel Haini, 2003, back cover]------------------------------------------------------------[Swahili Word] -tuhumiwa[English Word] be accused[Part of Speech] verb[Class] passive[Derived Language] Swahili[Derived Word] -tuhumu------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.